Shalom! Bodi ya wadhamini ya Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) inapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa za uhasibu kuomba nafasi za kazi kwa ajili ya vituo vinavyotoa huduma ya mtoto (Compassion) Nafasi ni chache, hivyo wenye sifa wote ndio watakaoitwa kwenye usahili. Kwa taarifa kamili bonyeza mahali hapo chini palipoandikwa “DCT- AJIRA MPYA ZA WAHASIBU…
The Diocese of Central Tanganyika (DCT) Board of Trustees seeks to employ competent and qualified personnel to work in the DCT Mvumi Hospital and fill the Project Accountant positions. For more details
The Diocese of Central Tanganyika (DCT) Board of Trustees seeks to employ competent and qualified personnel to work in the Diocesan Head Office and fill the following Finance and Administration Director positions. For more details Click here to view the pdf
Bonyeza link kusoma zaidi http://dct-tz.org/wp-content/uploads/2022/12/DCT-HEADER-LETTER.pdf