24 in Dodoma
Mackay House,
P. O. Box 15 Dodoma, Tanzania.

DCT- AJIRA MPYA ZA WAHASIBU 2022

  • Posted by: Diocese of Central Tanganyika
  • Category: DCT Updates, General News, Tenders, Vacancy

Shalom!

Bodi ya wadhamini ya Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) inapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa za uhasibu kuomba nafasi za kazi kwa ajili ya vituo vinavyotoa huduma ya mtoto (Compassion)

Nafasi ni chache, hivyo wenye sifa wote ndio watakaoitwa kwenye usahili.

Kwa taarifa kamili bonyeza mahali hapo chini palipoandikwa “DCT- AJIRA MPYA ZA WAHASIBU 2022″ kisha download pdf.

DCT- AJIRA MPYA ZA WAHASIBU 2022

Author: Diocese of Central Tanganyika